KILAINI, NZIGIRWA, TWIMANNYE NITAUNGAMA NIKIWATAZAMA USONI


Baba Askofu Methodius Kilaini akitoa huduma kanisani.
UKIHOJI dhambi za viongozi wa dini harakaharaka utaambiwa fuata mafundisho yao usifuate matendo. Hili ni kinyume na Mtume Paul aliyefundisha waumini wake kuwa wamfuate yeye kama alivyomfuata Yesu.
Kwa kuwa dini ni muhimu kwenye kaya yangu sibishi sana katika hilo, lakini kuhusishwa kwenye fedha chafu kwa viongozi wa dini Askofu Methodius Kilaini, Euesebius Nzigirwa na Alphonce Twimannye kumenibadilisha mtazamo.
Sikuwahi kuuliza utakatifu wa viongozi hao wa dini kwa sababu za kutofuata matendo yao; lakini sakata la ufisadi wa Escrow wa zaidi ya shilingi bilioni 300…

No comments:

Post a Comment