KIVAZI CHA SHILOLE CHAZUA UTATA


Staa wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
Shani Ramadhani

STAA wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amezua utata kufuatia kivazi alichopigilia usiku wa siku ya bethidei yake iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Baraka Plaza, Mikocheni jijini Dar.
Kivazi hicho alichokuwa amekivaa Shilole, kilikuwa kimeacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake jambo lililozua mjadala kwa watu kutokana na wahudhuriaji wengi wa kiume kumtolea macho na kuishia kusema;…

No comments:

Post a Comment