KUTOKA MORO AIBU! MKE WA MTU ANASWA AKIJIUZA KUSAKA FEDHA ZA KRISMASI


Stori: Dustan Shekidele, Morogoro

Ni aibu iliyoje! Tabia ya wanawake kujiuza kwa kisingizio cha kusaka fedha kwa ajili ya Sikukuu ya Krismasi imewatokea puani wanawake zaidi ya kumi akiwemo mke wa mtu baada ya kunaswa mawindoni na kutiwa nguvuni.
Makamanda wa Polisi pamoja na kikosi cha OFM wakiwataiti wanawke waliokuwa wakijiuza.
Tukio hilo la aibu lilitokea katika msako maalum wa polisi waliotoa kolabo kwa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, uliofanyika katika eneo ‘korofi’ la…

No comments:

Post a Comment