LULU AMUWAHI IDRIS


Na Erick Evarist

ACHANA na watu kibao waliojitokeza mitandaoni na kudai wana undugu na mshindi wa Shindano la Bigbrother Hotshot (2014), Idris Sultan (21), mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ndiye mtu wa kwanza kabisa kujinadi kuwa na urafiki na mshindi huyo aliyejinyakulia zawadi ya shilingi milioni 510.
Mwigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa na Idris.
Idris ambaye alinyakua kitita hicho nchini Afrika Kusini wikiendi iliyopita, aliwasili jana…

No comments:

Post a Comment