MADAI MAZITO ROSE NDAUKA, RICHIE WARUDIANA


Staa wa sinema Bongo, Rose Ndauka akifurahia jambo.
Na Waandishi Wetu

MASTAA wa sinema waliowahi kuwa wapenzi enzi hizo, Rose Ndauka na Single Mtambalike ‘Richie’ wanadaiwa kurudiana na hivi sasa ni mapenzi motomoto!Kwa mujibu wa chanzo, Rose na Richie wamedaiwa kurudiana baada ya mwanadada huyo kumwagana na mzazi mwenzake, Malick Bandawe miezi ya hivi karibuni.
“Hivi nyie wadaku mnajua Rose Ndauka na Richie sasa hivi ni mahaba niue kama zamani? Wamekuwa wakigandana na mara nyingine hupatikana maeneo ya Bahari Beach (jijini Dar) kiasi kwamba wasanii wenzao tunawashangaa.
“Inaonekena walipomwagana hakuna aliyekuwa tayari,” alisema msanii mmoja wa…

No comments:

Post a Comment