MADHARA YA POMBE ZA OFA! ALEWA AZIMIA WAHUNI WAMUUZA!


HII kali! Jamaa mmoja ambaye jina lake halikutambulika mara moja, alikutwa amelazwa chini akiwa amelewa chapachapa, maeneo ya Mtaa wa Kongo, Kariakoo jijini Dar, huku kawekewa karatasi kifuani na wahuni ikisomeka; “for sale” (anauzwa).
Kijana akiwa katika hali ya kutojitambua baada ya kupata ulabu wa Kutosha.
Kwa mujibu wa chanzo makini, jamaa huyo alikuwa na mwenzie ambaye inadaiwa kuwa ni kabila moja kwenye gari ambapo aliposimama maeneo hayo aliwaambia watu kuwa mwenzake huyo alikuwa…

No comments:

Post a Comment