MAMILIONI YA IDRIS YAZUA VITA


Stori: Erick Evarist
MILIONI 510 alizonyakua mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshot (2014), Idris Sultan ndiyo habari ya mjini. Tayari fedha hizo zimezua vita nzito kati ya Wanijeria na Wabongo, Risasi Mchanganyiko linakupa sakata zima hatua kwa hatua.
Idris Sultan akirurahia baada ya kutangazwa mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshot (2014).
Ushindi huo wa kishindo alioupata Idris, ulifanyika usiku wa Jumapili iliyopita pande za Johanesburgy, Afrika Kusini ambapo mshindi huyo…

No comments:

Post a Comment