MISS Tanzania namba 3 (2014), Dorice Mollel, amesema mashindano ya u-miss ni ‘stress’ tupu hivyo kama mrembo anataka kuingia ni lazima kujidhatiti na kukubali changamoto nyingi.
Akizungumza na mwandishi wetu, Dorice alisema kuwa siku zote mrembo anapoingia kwenye shindano hilo madhumuni yake ni kushinda na si vinginevyo sasa inapotokea akaanguka maumivu yake yanatesa yanaweza kumkosesha amani kwa muda…
No comments:
Post a Comment