JAMAA anayedaiwa kwamba ni mpambe mkubwa wa mmoja wa wagombea urais mwakani ambaye ni fundi wa kufunga madishi, mkazi wa Magomeni-Makanya jijini Dar es Salaam, almaarufu Mgosingwa, amejikuta akivishwa shanga baada ya kunaswa na mke wa mtu chumbani kwake.
FUMANIZI
Tukio hilo la aina yake la kufungia mwaka 2014 lilijiri kwenye fumanizi la jamaa huyo lililochukua nafasi…
No comments:
Post a Comment