MTUNISI AKIONA CHA MOTO MAHAKAMANI


Stori: Mayasa Mariwata na Chande Abdallah

MSANII nyota wa filamu Bongo, Nice Mohammed maarufu kama Mtunisi amekiona cha moto mahakamani baada ya kunyimwa dhamana na kutupwa mahabusu katika gereza la Segerea jijini Dar es Salaam.
Msanii nyota wa filamu Bongo, Nice Mohammed maarufu kama Mtunisi.
Mtunisi alipandishwa katika Mahakama ya Mwanzo Manzese Sinza jijini Dar es Salaam Jumatatu iliyopita, ambapo baada ya kusomewa shtaka lake la kushambulia mwili, mtuhumiwa alikana na hivyo hakimu kuahirisha…

No comments:

Post a Comment