Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro
Nyalandu akijaribu kurusha mkuki alipotembelea eneo la Loliondo wilayani
Ngorongoro kukanusha uvumi juu ya kuondolewa kwa Jamii ya Wamasai katika eneo
hilo.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro
Nyalandu akiagana na mzee wa kimasai mara baada ya kumaliza mkutano uliokuwa na
lengo la kukanusha uvumi juu ya kuondolewa kwa jamii ya Wamasai katika eneo
hilo.
Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya
Ngorongoro Raphael Rong’oi akizungumza na wananchi wa jamii ya kimasai kabla ya
kumkaribisha Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu (aliyekaa kwenye
pikipiki).
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro
Nyalandu akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanawake wa jamii ya kimasai
mara baada ya kumaliza mkutano nao.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment