PETE YA SHILOLE YAIBUA MAZITO!


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Naftari Mlawa ‘Nuhu Mziwanda’ akiwa na bebi wake Zuwena Mohammed ‘Shilole’.
Stori: Waandishi Wetu

JAMBO limezua jambo, saa chache baada ya mwanadada mtafutaji kunako tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, kuvalishwa pete ya uchumba na mchumba wake, Naftari Mlawa ‘Nuhu Mziwanda’ tayari watu wameanza kuisengenya.
Shilole alivalishwa pete hiyo katika sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika katika ‘apartment’ za Baraka Plaza, Mikocheni jijini Dar ambapo mara baada ya mwanadada huyo kukata keki na kuwalisha watu mbalimbali waliohudhuria, ndipo Nuhu alipomsapraizi mwanadada Shilole kwa kumvisha pete…

No comments:

Post a Comment