SHAMSA: NDOA TUNASUBIRI MIPANGO YA MUNGU


Msanii wa filamu Bongo, Shamsa Ford.
Ni wiki nyingine tena mpenzi msomaji tunakutana katika safu hii ya maswali kumi na leo tunakuletea msanii wa filamu Bongo, Shamsa Ford ambaye alibanwa kwa maswali na mwandishi wetu Gladness Mallya.
Ijumaa: Ni muda mrefu tangu tuliposikia habari za uchumba wako na Dickson, mbona mambo ya ndoa kimya?

Shamsa: Kwa wasiojua ni kwamba, tulishafunga ndoa ya kimila, ile ya kanisani ndiyo bado, tunasubiri siku ambayo Mungu ametupangia.

Ijumaa: Inasemekana kwa yule bwana wako umekufa na umeoza, yaani anampenda kuliko maelezo, sababu hasa ni ipi?
Shamsa: Unajua tena moyo ukipenda ila pia niliona ananifaa katika maisha yangu kwani ana imani, busara, hekima pia…

No comments:

Post a Comment