Rais Jakaya Kikwete
akizungumza na Waziri Mkuu wa Mstaafu Mhe Edward Lowassa walipohudhuria sherehe
za kutunukiwa kamisheni maofisa wapya wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa cheo
cha Luteni Usu, iliyofanyika katika chuo cha jeshi hilo Monduli, mkoani Arusha
leo.
![]() |
| Picha ya pamoja |
Waziri Mkuu Mstaafu na
Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Lowassa akiongea na maofisa waandamizi wa Jeshi
la Wananchi wa Tanzania akiwemo na Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange (kushoto)
kwenye sherehe za kutunukiwa kamisheni maofisa wapya wa Jeshi la Wananchi wa
Tanzania kwa cheo cha Luteni Usu, iliyofanyika katika chuo cha jeshi hilo
Monduli, mkoani Arusha leo
.jpg)
.jpg)
.jpg)
No comments:
Post a Comment