SHILOLE: KUNA WATU WANATAMANI KUNIUA


Stori: Gladness Mallya

MSANII wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ambaye pia anafahamika kama Shishi Baby, amesema baadhi ya watu wana chuki naye kiasi kwamba wanatamani kumtoa roho kwa kutopenda mafanikio yake.
Msanii wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
Akipiga stori na gazeti hili mara baada ya ziara yake ya kimuziki barani Ulaya, Shishi Baby alisema katika mitandao ya kijamii, alizushiwa kuwa alienda huko akiwa na mwanaume badala ya…

No comments:

Post a Comment