STAA wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mwigizaji Nice Mohammed ‘Mtunis’, amemchana zilipendwa wake huyo kwa kumwambia hana mvuto!
Kuonesha msisitizo, Batuli alisema kwa Mtunis ilikuwa ni kama daraja tu, alishapita hivyo hana mpango naye tena kwani tayari amepata mchumba wa Kizungu, raia wa nchi moja barani Afrika, ambaye muda wowote atamtangaza kuwa mume wake.
Alisema anaamini kwamba si…

No comments:
Post a Comment