UPDATES UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA



MATOKEO:
Mabomu yatumika: Jeshi la Polisi limeamua kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi mkoani Mwanzakatika maeneo ya Pasians, Mji Mwema, Kirumba, Ibungiro na Kitangiri baada ya vurugu wakati wa kusubiri kutangazwa matokeo.
Kijiji cha Muungano Kata ya Chahwa mkoani Dodoma: CHADEMA 196, ADC 38
Mbozi; Mtaa wa Masaki: CHADEMA 99, CCM 44
Kigoma Mjini; Mtaa wa Gezaulole: CHADEMA 240, CCM 198
Ukonga; Mtaa wa Kivule Majohe: CHADEMA 231, CCM 77
Musoma Vijijini; Kijiji cha Muhoji: CHADEMA 197, CCM 464
Ubungo; Mtaa wa Msewe: CHADEMA 683, CCM…

No comments:

Post a Comment