ANASWA NA KITITA CHA FEDHA BANDIA!


Stori: Issa Mnally Na Richard Bukos

OFM kazini! Kile kitengo maarufu cha Global Publishers cha Operesheni Fichua Maovu (OFM) mwishoni mwa wiki kilifanikiwa kunasa tukio la aina yake baada ya kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Joni Simon kunaswa na kitita cha fedha bandia akitaka kuwekewa katika simu yake ya mkononi kupitia mtandao wa Tigo Pesa, tukio lililotokea Sinza Afrika Sana jijini Dar.
Polisi wakionyesha fedha bandia alizokamatwa nazo bwana Joni…

No comments:

Post a Comment