MKURUGENZI wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta International’ na Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba wamewatolea uvivu mastaa wanaojihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya (mateja) na kuwataka waache wenyewe.
Wakizungumza katika mahojiano maalum na mwanahabari wetu kwa nyakati tofauti, Januari 5,…
No comments:
Post a Comment