WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi aliyeondolewa ofisini hivi karibuni kutokana na sakata la Tegeta Escrow, Anna Tibaijuka, hivi karibuni amenaswa akiwatembelea watu wanaosadikiwa kuwa wapiga kura wake jimboni Muleba mkoani Bukoba akiwa pekupeku.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof.Anna Tibaijuka akipekua jimboni Muleba mkoani Bukoba.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, vikiwemo mitandao ya kijamii, Waziri huyo Profesa, ameamua kuwafuata…
No comments:
Post a Comment