BABA, MAMA DIAMOND HOI KITANDANI

Na Waandishi wetu/Risasi

HALI ni tete! Wazazi wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim na Abdul Juma wako hoi vitandani wakikabiliwa na maradhi mbalimbali, Risasi Jumamosi lina taarifa kamili.
Mama wa mbongofleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim akiuguza ugonjwa,
MAMA DIAMOND

Kwa mujibu wa chanzo chetu cha uhakika, mama Diamond hajiwezi kwa mwezi mmoja sasa akisumbuliwa na maradhi yenye kuashiria kupooza…

No comments:

Post a Comment