Milipuko hiyo baada ya kukamatwa mchana huu
ikiwa ndani ya boksi
Kuna shehena kubwa ya milipuko ya hatari
inayotumika kutengenezea Mabomu ya Kuvulia samaki na kutengenezea milipuko ya
kupasulia miamba migumu imekamatwa eneo la Korogwe mchana huu wakati wa Jeshi la
Polisi walipokamata Basi la KLM EXP lenye usajili wa namba T491 ARB kwa ajili ya
Ukaguzi. Milipuko hiyo ambayo imesafirishwa kwa njia ambayo sio sahihi kutokana
na hatari yake ya kuwa kulikuwa na abiria na kama Basi Lingetingishika zaidi
Ingeweza Kulipuka .

No comments:
Post a Comment