BOZI AELEZA SABABU ZA KUTODUMU PENZINI


Stori: Mayasa Mariwata

MUUZA sura kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ ambaye alikiri kubanjuka na mastaa wasiopungua 15, amesema sababu zinazomsababisha asidumu na mwanaume mmoja kwenye mapenzi ni kutokana na mateso aliyoyapata kwenye ndoa ya utotoni.
Muuza sura kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’.
Akibonga mawili matatu na paparazi wetu, Bozi alisema tatizo la kutokuwa na msimamo kwenye mapenzi linatokana na kuumizwa na mwanaume ambaye alimuamini na kuingia…

No comments:

Post a Comment