BSS: MADAM RITA ALIA NA BASATA


Stori: Mwandishi wetu
MKURUGENZI wa Benchmark Production, Madame Rita Poulsen, amelia na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), chombo cha serikali kinachosimamia utamaduni kwa ujumla, akilielezea kuwa halina msaada wowote kwa shindano la kutafuta na kuibua vipaji vya wasanii wa muziki nchini, linalofahamika kama Bongo Stars Search (BSS).
Mkurugenzi wa Benchmark Production, Madame Rita Poulsen.
“Tunalipa fedha BASATA kwa ajili ya shindano, tunatoa ajira nyingi kwa vijana na…

No comments:

Post a Comment