STAA wa Filamu Bongo, Chuchu Hans juzikati alifungukia madai ya kwamba ameachana na mchumba wake Vicent Kigosi ‘Ray’, akaeleza kuwa, hakuna ukweli wowote juu ya hilo.Chuchu alifikia uamuzi wa kufafanua juu ya madai hayo juzi kufuatia tetesi zilizokuwa zimeenea kwamba yeye na kipenzi chake huyo wametibuana na sasa kila mtu kimpango wake.
Staa wa Filamu Bongo, Chuchu Hans akiwa na mpenzi wake 'Ray''.
Akifungukia juu ya uvumi huo Chuchu alisema: “Kutakuwa na watu…
No comments:
Post a Comment