NENO! Siku chache baada ya kunasa mimba ya pili, mwigizaji Flora Mvungi amempa somo la uzazi staa mwenzake, Aunt Ezekiel kuwa anapaswa kuzingatia taratibu za kliniki, vinginevyo atapata madhara makubwa.
Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Flora alisema mbali na kupunguza kujirusha, anamshauri Aunt aende kwa Dokta Fadhili Emily wa Kliniki ya The Fadhaget Sanitarium Kitengo cha Sayansi na Tiba iliyopo Mbezi Beach- Africana jijini Dar kwani…
No comments:
Post a Comment