HAKUNA SHULE, KAZI WALA NDEGE KURUKA NEW YORK ZAIDI YA NDEGE 6,000 CANCELS HADI JUMATANO Hapa ni Times Square New York kimya kabisa wakati siyo kawaida yake tishio la barafu inayoendelea kushuka kama imeagizwa vile yasababisha shule kufungwa hadi jumatano kazi na usafiri wa chini na anga stop kwa siku mbili. New York ni nyumbani kwa vikwangua anga lakini kama unavyoona ni ukungu mzito na barafu ikinyesha. Dada akiwahi nyumbani kabla akujawa kubaya zaidi watu wameambiwa kukaa ndani na kuchoma mahindi nje ni shida SOMA ZAIDI

Hapa ni Times Square New York kimya kabisa wakati siyo kawaida yake tishio la barafu
inayoendelea kushuka kama imeagizwa vile yasababisha shule kufungwa hadi jumatano kazi na usafiri wa chini na anga stop kwa siku mbili.
New York ni nyumbani kwa vikwangua anga lakini kama unavyoona ni ukungu mzito na barafu ikinyesha.
Dada akiwahi nyumbani kabla akujawa kubaya zaidi watu wameambiwa kukaa ndani na kuchoma mahindi nje ni shida

No comments:

Post a Comment