HAUSIGELI ASAKWA WIZI WA MTOTO


Stori: Shomari Binda, Mara/UWAZI

MFANYAKAZI wa ndani anayefahamika kwa jina la Paulina Sobe anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa mtoto wa bosi wake, Diana Meshack, mwenye umri wa miaka miwili, huko Musoma mkoani Mara, tukio lililotokea Januari 3 mwaka huu.
RPC Mara akiwa na mtoto aliyeibiwa(kushoto) ni mama wa mtoto huyo.
Kamanda wa Jeshi hilo mkoani Mara, ACP Philip Kalangi, aliliambia gazeti hili kuwa kwa kushirikiana na askari wa Kanda Maalum ya Kipolisi…

No comments:

Post a Comment