MADAHA: NAOTA NAFANYA MAPENZI KILA SIKU


Msanii wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha.
Na Gladness Mallya/Ijumaa

IMEVUJA! Msanii wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya mwaka baada ya kueleza sababu za kutodumu na wanaume kimapenzi kwamba ni kutokana na kuota anafanya mapenzi kila siku.
Awali rafiki wa Madaha aliyeomba hifadhi ya jina lake aliliambia Ijumaa kuwa, mara kwa mara msanii huyo amekuwa akilalamika kuwa kila siku anaota akifanya mapenzi hali inayomfanya asiwe na hamu ya kuwa na mpenzi.
“Mwenyewe anasema ni hali inayomtesa sana, asubuhi akiamka anakuwa amechoka na muda mwingi anakuwa hana hamu ya kuwa na mpenzi,” kilidai chanzo hicho.
Baada ya kupata ‘tipu’ hiyo, mwandishi wetu alimtafuta Baby Madaha, alipopatikana alisema: “Ni…

No comments:

Post a Comment