MAZISHI MKE WA BILIONEA MIL. 200



Hii ndiyo ajali iliyoondoa uhai wa Carista Charles Makoi (52).
Stori: Joseph Ngilisho, ARUSHA/UWAZI

MAZISHI ya Carista Charles Makoi, 52, (pichani), ambaye alikuwa mke wa mfanyabiashara bilionea jijini hapa, Charles Makoi yamefanyika huku shilingi milioni 200 zikisemekana kuteketea kwa bajeti.
Mfanyabiashara maarufu jijini hapa, Patrick Ngiloi ambaye ni mmiliki wa vituo vya mafuta vya Kampuni ya Panone ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya mazishi hayo.…

No comments:

Post a Comment