MBARONI KWA MAPENZI YA JINSIA MOJA


Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa/Uwazi
DUNIA imekwisha! Wasichana wawili warembo, Maua Sadick (24), mkazi wa Stakishari, Ukonga wilayani Ilala na Lucy Fred (23), mkazi wa Karakata jijini Dar es Salaam, wanashikiliwa katika Kituo cha Polisi Stakishari, Ukonga, Dar kwa kesi yenye jalada STK/RB/463/2015 wakidaiwa kufanya mapenzi ya jinsia moja.…

No comments:

Post a Comment