Zari alisema umaarufu unamtafuta yeye na sio
kwamba yeye anautafuta
JINA la Zari hivi sasa limekuwa jina maarufu
katika masikio ya Watanzania, Afrika Mashariki na kwingineko hasa baada ya
mwanadada huyo mfanyabiashara na mwanamuziki wa Uganda kuwa na urafiki na
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul maarufu kwa jina la usanii Diamond
Platnum.


No comments:
Post a Comment