MWANAMKE MWENYE ‘MAHIPS’ MAKUBWA AINGIA KATIKA KITABU CHA KUMBUKUMBU ZA GUINNESS


Mikel Ruffinelli ndiye mwanamke anayejulikana rasmi kuwa na ‘mahips’ makubwa zaidi duniani.
MIKEL RUFFINELLI ndiye mwanamke mwenye ‘mahips’ (nyonga au makalio) makubwa zaidi duniani hivi sasa na ameingia katika Kitabu cha Kumbukumbu za Dunia cha Guinness. …

No comments:

Post a Comment