ONDOKA KWENYE NYUMBA YA KUPANGA

Ondoka kwenye nyumba ya kupanga ....NUNUA NYUMBA KWA MILIONI SABA NA LAKI MBILI TUU LIPIA KIDOGO KIDOGO..karibuni ahadiway tunakopesha nyumba za vyumba viwili choo na jiko..bei ni sh 7,200,000 tu ila utalipa mwanzoni 1.7m milioni moja na laki saba alafu zilizo baki utalipa kidogo kidogo miaka mitano. Ukishalipia tu hiyo 1.7 nyunba ni yako na unaweza kujenga chochote utakacho maana utaoewa mkataba wa umiliki. Karibuni ahadiway life development initiative... usilipe kodi tena... nyumba zipo mabwe bande (bunju b) mpiji magoe (mbezi ya kimara) kigamboni (kata ya mwasonga) fika ofisini kwetu kwa mahojiano zaidi. agness+255 655 490 254, au angle+255714038232 au baraka+255655040772 tupo mwenge karibu na itv wanaporushia matangazo mara baada tu ya ofice za yutong geti linalifuata ahadiway ni kwenye kona ya kuingia itv studio mkono wa kulia utaona maua makubwa mawili yapo nnje yamejengewa na siment .viwanja ni vikubwa vinatosha kujenga vyumba ya pili.. like page yetuhttps://www.facebook.com/pages/Ahadiway/539124546128964

No comments:

Post a Comment