PADRI JOHN WOTHERSPOON ATEMBELEA TANZANIA


Padri John Wotherspoon anayechapisha barua mbalimbali za wafungwa wa Kitanzania waliofungwa katika magereza ya Hong Kong.
Padri John Wotherspoon anayechapisha barua mbalimbali za wafungwa wa Kitanzania waliofungwa katika magereza ya Hong Kong baada ya kukamatwa na dawa za kulevya anafanya ziara nchini Tanzania kutembelea familia za wafungwa hao. Padri Wotherspoon alianza ziara yake mwishoni mwa mwaka jana na anaendelea na ziara ya kutembelea familia hizo hadi hivi sasa.
John Wotherspoon anasema aliwasili nchini akiwa na fedha za wafadhili kutoka Hong Kong kwa ajili ya kusaidia familia za wafungwa walio magerezani Hong Kong. Lakini fedha hizo zimeishia kwenye familia 5 tu huku…

No comments:

Post a Comment