Akizungumza kutoka Dodoma yalipo makazi ya mwimbaji huyo, mmoja wa watu wake wa karibu aliyeomba hifadhi ya jina lake, alisema hatua ya Msama kutangaza kutofanya naye kazi, limekuwa pigo kwake kwani ndiye aliyekuwa kiongozi na mwokozi wake wa mambo mengi ya kikazi na binafsi.…
No comments:
Post a Comment