SHILOLE AWAPA MAKAMU WANAOMTUKANA
Katika hali isiyokuwa ya kawaidi msanii shilole
amefunguka na kutoa ya moyoni kuhusu mashabiki wanao wa-follow wasanii katika
mitandao ya kijamii kutokana na baadhi ya mashabiki kutumia mitandao hiyo
kuwachafua wasanii hao kutokana na kuwakejeli hadi kufikia hatua ya kuwatukana
hadharani kupitia mitandao hiyo.Kupitia A/C yake ya Instagram shilole ameposti
ujumbe huu kuhusu baadhi ya mashabiki wenye tabia ya kuwakashifu wasanii kupitia
mitandao hiyo.
No comments:
Post a Comment