TIKO ATAMANI KUOLEWA NA BABU MWARABU


Deogratius Mongela

MSANII wa filamu Bongo, Tiko Hassan ametoa ya moyoni na kusema kuwa kwa sasa yupo tayari kuolewa na babu Mwarabu ilimradi akitimiza mashariti yake.
Msanii wa filamu Bongo, Tiko Hassan.
Akizungumza na Uwazi, Tiko alisema kwa sasa kama atatokea babu wa kumtolea posa, yupo tayari ila asiwe raia wa hapa bali awe Mwarabu maana vijana hasa wa Bongo sio waoaji ni wachezeaji.
“Kila mwanamke anatamani kuolewa, kama hujaolewa unaonekana kama muhuni na…

No comments:

Post a Comment