ZAIDI ya walimu 100 wa shule za msingi na sekondari za Manispaa za Kinondoni, Dar es Salaam jana
wameandamana hadi katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa hiyo wakitaka kutekelezewa madai mbalimbali wanayoidai manispaa hiyo, zikiwamo fedha za likizo pamoja na kupandishwa madaraja.
habarileo
No comments:
Post a Comment