Wema Sepetu Hajampeleka Diamond Mahakamani Kwa Deni La Milion 10 – Martin Kadinda Afunguka
Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amekanusha taarifa
zilizoandikwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini likiwemo gazeti la
Mtanzania kuwa amempeleka Diamond polisi kwa kile kinachosemwa ni kumtapeli
shilingi milioni 10.
No comments:
Post a Comment