BIFU JIPYA LUNGI, AMANDA


NA WAANDISHI WETU/Mchanganyiko
NYOTA wa filamu kitambo, Lungi Maulanga anadaiwa kuwa katika bifu kali na mwenzake Tamrina Poshi ‘Amanda’ kwa kile kinachotajwa kuwa ni mmoja wao kumponda mwenziye akimsema kuwa anaenda nje kujiuza.
Nyota wa filamu kitambo, Lungi Maulanga.
“Unaambiwa Lungi baada ya kuambiwa hivyo alikasirika na kumpigia simu Amanda wakaanza kutukanana kiasi cha kufikia hatua ya kutaka kuchapana,” kilisema chanzo chetu.…

No comments:

Post a Comment