DIAMOND AMJIBU KWA VITENDO EX WA ZARI

Diamond akiwa kwenye baiskeli huku Zari akiwa kwenye BMW X6.
Baadhi ya post za King Lawrence Instagram akimkejeli Diamond.
STAA wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, ameamua kumjibu kwa vitendo anayedai kuwa aliwahi kuwa mpenzi wa mwandani wake wa sasa, Zarinah Hassani ‘Zari’, King Lawrence ambaye amekuwa akimtupia maneno ya kumtusi na kejeli mitandaoni.…

No comments:

Post a Comment