SI siri tena! Staa wa wimbo wa Ndakushima, Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kwa sasa ameamua kukiri wazi kuwa ananogewa na penzi la Wema Sepetu ‘Madame’.
Akizungumza na paparazi wetu Februari 11, mwaka huu maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Dimpoz alisema anawashangaa sana watu kuendelea kumsakama juu ya uhusiano wake na Madame wakati yeye anafahamu shemeji yake kwa Nasibu Abdul ‘Diamond’ ni Zarina…
No comments:
Post a Comment