Mwigizaji wa Bongo Muvi, Lungi Maulanga.
Wiki hii katika kolamu yetu hii tunaye Lungi
Maulanga, msanii wa filamu Bongo ambaye pia anafanya biashara. Mwandishi Wetu
Hamida Hassan alikutana naye maeneo f’lani jijini Dar na kumbana kwa maswali 10
ambayo aliyajibu kwa umakini wa hali ya juu. Tiririka naye…

No comments:
Post a Comment