Mkazi wa Mwenge akipita kwa kwa taabu katika moja ya barabara za Mwenge ambazo zimejaa maji taka na ambazo ni mbovu.
MAJI taka yaliyovamia sehembu mbalimbali na barabara mbovu vimekuwa ni kero kubwa kwa wakazi wa Mwenge jijini Dar es Salaam hasa katika maeneo ya wafanyabiashara ndogondogo. Matokeo ya adha hiyo ni kupitika kwa taabu sehemu hiyo na harufu mbaya inayotokana na maji hayo hususan kwa watembea kwa miguu.
(HABARI/PICHA NA DENIS…
No comments:
Post a Comment