MSC Martina yatia nanga katika Bandari ya Salama


Meli kubwa MSC Martina yenye urefu wa mita 244 na upana wa mita 32.2 ikiwa na uwezo wa kubeba makontena 2,411 imefanikiwa kutia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam.
http://www.wavuti.com/2015/02/msc-martina-yatia-nanga-katika-bandari.html

No comments:

Post a Comment