WAPENZI KUNATANA KWAITIKISA GESTI!


Na Deogratius Mongela na Chande Abdallah/Uwazi

NI shida! Wakazi wa Mlandizi mkoani Pwani mwishoni mwa wiki iliyopita walijikuta wakishinda nje ya nyumba moja ya kulala wageni iitwayo Kilimahewa Guest House baada ya kuwepo taarifa za watu wawili, mtu na mpenzi wake kunatana baada ya kudaiwa kufanya mapenzi majira ya asubuhi.

Mwananchi akitumia tochi kuwasaka uvunguni.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, taarifa za kuwepo kwa tukio hilo zilisambaa kwa kasi na chanzo chake kinadaiwa ni mwendesha pikipiki…

No comments:

Post a Comment