WAKATI mama mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,
Sanura Kasim ‘Sandra’ akiwa nchini India kwa matibabu ya tatizo la kiafya
linalodaiwa kuwa ni kupooza, hapa Bongo dalili za Diamond na mpenzi wake wa
sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’ au The Boss Lady kufunga ndoa
zinanukia.

No comments:
Post a Comment