Ajali ya basi iliyotokea muda si mrefu
Mikumi na kusemekana watu 8 wamepoteza maisha na wengine 3 mahututi na sababu ya
ajali ni mwendo kasi Vijimambo inaendelea kufuatilia ajali hii kwa karibu na
inawapa pole wale wote waliopatwa na msiba ya wapendwa wao na kuwaombea kwa
Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu na kuwaombea majeruhi
wote wapate nafuu haraka.
Kwa picha zaidi
bofya soma zaidi


No comments:
Post a Comment