Ili kutoka na kuonekana ng’aring’ari, Ester anasema hutumia vipodozi vifuatavyo:
LOTION
Anatumia Revlon lakini wakati mwingine anasema hutumia mafuta ya nazi pekee au huchanganya na Revlon.
Muigizaji wa filamu Bongo, Ester Kiama.
KUCHAEster anasema anaweka kucha bandia kwa gharama ya shilingi 70,000. Kwa matumizi ya wiki mbili.
NYWELE
Msanii huyo ambaye yuko juu kwa sasa, hutumia shilingi 80, 000 kwa kusuka nywele zake…
No comments:
Post a Comment